Numbers 6:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Muda wote atakaokuwa mnadhiri asile kitu chochote kinachotokana na mzabibu, tangu kokwa hata maganda yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa muda wote atakaokuwa Mnadhiri, kamwe hatakula chochote kitokanacho na mzabibu, sio mbegu wala maganda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zote za kujitenga kwake asile kitu cho chote kilichoandaliwa kwa mzabibu, tangu kokwa hata maganda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Muda wote atakaokuwa mnadhiri asile kitu chochote kinachotokana na mzabibu, tangu kokwa hata maganda yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa muda wote atakaokuwa Mnadhiri, kamwe hatakula cho chote kitokanacho na mzabibu, sio mbegu wala maganda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa muda wote atakaokuwa Mnadhiri, kamwe hatakula chochote kitokanacho na mzabibu, sio mbegu wala maganda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zote za kujitenga kwake asile kitu chochote kilichoandaliwa kwa mzabibu, tangu kokwa hata maganda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Muda wote atakaokuwa mnadhiri asile kitu chochote kinachotokana na mzabibu, tangu kokwa hata maganda yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zote za weuo wake asile cho chote kitokacho kwa mzabibu, wala koko wala maganda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zote za kujitenga kwake asile kitu cho chote kilichoandaliwa kwa mzabibu, tangu kokwa hata maganda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muda wote atakaokuwa munaziri asikule kitu chochote kinachotokana na muzabibu, tangu kokwa hata maganda yake.