Numbers 6:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Muda wote atakaokuwa mnadhiri atakuwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kipindi chote cha kujitenga kwake, yeye ni wakfu kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zote za kujitenga kwake, yeye ni mtakatifu kwa Bwana
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Muda wote atakaokuwa mnadhiri atakuwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kipindi chote cha kujitenga kwake yeye ni wakfu kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kipindi chote cha kujitenga kwake yeye ni wakfu kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zote za kujitenga kwake, yeye ni mtakatifu kwa BWANA
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Muda wote atakaokuwa mnadhiri atakuwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zote za weuo wake ni mtakatifu wa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zote za kujitenga kwake, yeye ni mtakatifu kwa BWANA
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muda wote atakaokuwa munaziri atakuwa mutakatifu kwa Yawe.