Numbers 7:18 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya pili, Nethaneli mwana wa Suari, kiongozi wa kabila la Isakari alitoa sadaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya pili yake Nethaneli mwana wa Suari, kiongozi wa Isakari, alileta sadaka yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya pili Nethaneli mwana wa Suari, mkuu wa Isakari, alitoa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya pili, Nethaneli mwana wa Suari, kiongozi wa kabila la Isakari alitoa sadaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya pili yake Nethaneli mwana wa Suari, kiongozi wa kabila la Isakari, alileta sadaka yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya pili yake Nethaneli mwana wa Suari, kiongozi wa kabila la Isakari, alileta sadaka yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya pili Nethaneli mwana wa Suari, mkuu wa Isakari, alitoa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya pili, Nethaneli mwana wa Suari, kiongozi wa kabila la Isakari alitoa sadaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya pili Netaneli, mwana wa Suari, mkuu wa Isakari, akaleta vipaji vyake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya pili Nethaneli mwana wa Suari, mkuu wa Isakari, alitoa;