Numbers 7:24 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya tatu ikawa zamu ya Eliabu mwana wa Heloni, kiongozi wa kabila la Zebuluni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya tatu Eliabu mwana wa Heloni, kiongozi wa watu wa Zabuloni, alileta sadaka yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya tatu Eliabu mwana wa Heloni, mkuu wa wana wa Zabuloni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya tatu ikawa zamu ya Eliabu mwana wa Heloni, kiongozi wa kabila la Zebuluni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya tatu Eliabu mwana wa Heloni, kiongozi wa kabila la Zabuloni, alileta sadaka yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya tatu Eliabu mwana wa Heloni, kiongozi wa kabila la Zabuloni, alileta sadaka yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya tatu Eliabu mwana wa Heloni, mkuu wa wana wa Zabuloni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya tatu ikawa zamu ya Eliabu mwana wa Heloni, kiongozi wa kabila la Zebuluni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya tatu Eliabu, mwana wa Heloni, mkuu wa wana wa Zebuluni, akaleta vipaji vyake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya tatu Eliabu mwana wa Heloni, mkuu wa wana wa Zabuloni;