Numbers 7:30 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya nne ikawa zamu ya Elisuri mwana wa Shedeuri, kiongozi wa kabila la Reubeni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya nne Elisuri mwana wa Shedeuri, kiongozi wa watu wa Reubeni, alileta sadaka yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya nne Elisuri mwana wa Shedeuri, mkuu wa wana wa Reubeni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya nne ikawa zamu ya Elisuri mwana wa Shedeuri, kiongozi wa kabila la Reubeni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya nne Elisuri mwana wa Shedeuri, kiongozi wa kabila la Reubeni, alileta sadaka yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya nne Elisuri mwana wa Shedeuri, kiongozi wa kabila la Reubeni, alileta sadaka yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya nne Elisuri mwana wa Shedeuri, mkuu wa wana wa Reubeni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya nne ikawa zamu ya Elisuri mwana wa Shedeuri, kiongozi wa kabila la Reubeni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya nne Elisuri, mwana wa Sedeuri, mkuu wa wana wa Rubeni, akaleta vipaji vyake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya nne Elisuri mwana wa Shedeuri, mkuu wa wana wa Reubeni;