Numbers 7:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose akachukua magari na mafahali akawapa Walawi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Musa akachukua yale magari ya kukokotwa pamoja na maksai, na kuwapa Walawi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akapokea hayo magari, na ng'ombe, akawapa Walawi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose akachukua magari na mafahali akawapa Walawi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Mose akachukua yale magari ya kukokotwa pamoja na maksai, na kuwapa Walawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Musa akachukua yale magari ya kukokotwa pamoja na maksai, na kuwapa Walawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akapokea hayo magari, na ng'ombe, akawapa Walawi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose akachukua magari na mafahali akawapa Walawi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akayachukua hayo magari pamoja na ng'ombe, akawapa Walawi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akapokea hayo magari, na ng’ombe, akawapa Walawi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa akatwaa magari na ngombe dume akawapa Walawi.