Numbers 7:60 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya tisa ikawa zamu ya Abidani mwana wa Gideoni, kiongozi wa kabila la Benyamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya tisa Abidani mwana wa Gideoni, kiongozi wa watu wa Benyamini, alileta sadaka yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya kenda Abidani mwana wa Gideoni, mkuu wa wana wa Benyamini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya tisa ikawa zamu ya Abidani mwana wa Gideoni, kiongozi wa kabila la Benyamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya tisa Abidani mwana wa Gideoni, kiongozi wa watu wa Benyamini, alileta sadaka yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya tisa Abidani mwana wa Gideoni, kiongozi wa watu wa Benyamini, alileta sadaka yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya tisa Abidani mwana wa Gideoni, mkuu wa wana wa Benyamini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya tisa ikawa zamu ya Abidani mwana wa Gideoni, kiongozi wa kabila la Benyamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya tisa Abidani, mwana wa Gideoni, mkuu wa wana wa Benyamini, akaleta vipaji vyake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)