Numbers 7:63 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ng'ombe mmoja mume mchanga, na kondoo mume mmoja, na mwana-kondoo mume mmoja wa mwaka wa kwanza, kuwa sadaka ya kuteketezwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ng'ombe dume mchanga mmoja, na kondoo dume mmoja, na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kuwa sadaka ya kuteketezwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena dume moja la ng'ombe aliye kijana bado na dume moja la kondoo na mwana kondoo mmoja wa mwaka mmoja kuwa ng'ombe za tambiko za kuteketezwa nzima,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ng’ombe mmoja mume mchanga, na kondoo mume mmoja, na mwana-kondoo mume mmoja wa mwaka wa kwanza, kuwa sadaka ya kuteketezwa;