Numbers 7:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na Wamerari wakapewa magari manne na mafahali wanane, kuwasaidia katika kazi zao zote chini ya uongozi wa Ithamari mwana wa kuhani Aroni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na pia aliwapa Wamerari magari manne ya kukokotwa na maksai wanane, kama kazi yao ilivyohitaji. Wote walikuwa chini ya maelekezo ya Ithamari mwana wa kuhani, Haruni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wana wa Merari akawapa magari manne na ng'ombe wanane kama utumishi wao ulivyokuwa, chini ya mkono wa Ithamari, mwana wa Haruni kuhani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na Wamerari wakapewa magari manne na mafahali wanane, kuwasaidia katika kazi zao zote chini ya uongozi wa Ithamari mwana wa kuhani Aroni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na pia aliwapa Wamerari magari manne ya kukokotwa na maksai wanane, kama kazi yao ilivyohitaji. Wote walikuwa chini ya maelekezo ya Ithamari mwana wa kuhani, Aroni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na pia aliwapa Wamerari magari manne ya kukokotwa na maksai wanane, kama kazi yao ilivyohitaji. Wote walikuwa chini ya maelekezo ya Ithamari mwana wa kuhani, Haruni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wana wa Merari akawapa magari manne na ng'ombe wanane kama utumishi wao ulivyokuwa, chini ya mkono wa Ithamari, mwana wa Haruni kuhani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na Wamerari wakapewa magari manne na mafahali wanane, kuwasaidia katika kazi zao zote chini ya uongozi wa Ithamari mwana wa kuhani Aroni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Magari manne na ng'ombe wanane akawapa wana wa Merari kwa hivyo, utumishi wao ulivyokuwa, Itamari, mwana wa mtambikaji Haroni, aliousimamia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wana wa Merari akawapa magari manne na ng’ombe wanane kama utumishi wao ulivyokuwa, chini ya mkono wa Ithamari, mwana wa Haruni kuhani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na Wamerari wakapewa magari mane na ngombe dume wanane kwa kuwasaidia katika kazi zao zote chini ya uongozi wa Itamari mwana wa kuhani Haruni.