Numbers 7:84 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jumla ya matoleo ya sadaka za viongozi wa Israeli kwa ajili ya madhabahu siku ilipowekwa wakfu ilikuwa: Sahani za fedha kumi na mbili, birika za fedha kumi na mbili, na visahani vya dhahabu kumi na viwili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizi ndizo sadaka zilizotolewa na viongozi wa Israeli madhabahu yalipowekwa wakfu, wakati yalipakwa mafuta: sahani kumi na mbili za fedha, bakuli kumi na mbili za fedha za kunyunyizia, na masinia kumi na mawili ya dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hayo ndiyo matoleo yaliyotolewa na wakuu wa Israeli kwa ajili ya kuiweka wakfu madhabahu, siku hiyo ilipotiwa mafuta; sahani za fedha kumi na mbili, na bakuli za fedha kumi na mbili, na vijiko vya dhahabu kumi na viwili;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jumla ya matoleo ya sadaka za viongozi wa Israeli kwa ajili ya madhabahu siku ilipowekwa wakfu ilikuwa: sahani za fedha kumi na mbili, birika za fedha kumi na mbili, na visahani vya dhahabu kumi na viwili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi zilikuwa ndizo sadaka za viongozi wa Israeli madhabahu ilipowekwa wakfu wakati ilipotiwa mafuta: sahani kumi na mbili za fedha, bakuli kumi na mbili za fedha za kunyunyizia, na masinia kumi na mawili ya dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi ndizo zilikuwa sadaka za viongozi wa Israeli madhabahu yalipowekwa wakfu, wakati yalitiwa mafuta: sahani kumi na mbili za fedha, bakuli kumi na mbili za fedha za kunyunyizia, na masinia kumi na mawili ya dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hayo ndiyo matoleo yaliyotolewa na wakuu wa Israeli kwa ajili ya kuiweka wakfu madhabahu, siku hiyo ilipotiwa mafuta; sahani za fedha kumi na mbili, na bakuli za fedha kumi na mbili, na vijiko vya dhahabu kumi na viwili;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jumla ya matoleo ya sadaka za viongozi wa Israeli kwa ajili ya madhabahu siku ilipowekwa wakfu ilikuwa: Sahani za fedha kumi na mbili, birika za fedha kumi na mbili, na visahani vya dhahabu kumi na viwili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi vilikuwa vipaji, wakuu wa Waisiraeli walivyovitoa vya weuo wa meza ya kutambikia siku hiyo, ilipopakwa mafuta: mabakuli yaa fedha 12 na vyano vya fedha 12 na vijiko vya dhahabu 12.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)