Numbers 7:86 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vile visahani vya dhahabu kumi na viwili vyenye kujaa ubani, kila kimoja kikiwa na uzito wa gramu 110 kadiri ya vipimo vya hema takatifu vilikuwa na jumla ya uzito wa kilo moja na gramu 320.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sahani kumi na mbili za dhahabu zilizojazwa uvumba zilikuwa na uzito wa shekeli kumi kila moja, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu. Kwa jumla, sahani za dhahabu zilikuwa na uzito wa shekeli mia moja na ishirini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na vijiko vya dhahabu vilivyojaa uvumba kumi na viwili, uzani wake kila kijiko shekeli kumi, kwa shekeli ya mahali patakatifu; dhahabu yote ya vile vijiko ilikuwa shekeli mia na ishirini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vile visahani vya dhahabu kumi na viwili vyenye kujaa ubani, kila kimoja kikiwa na uzito wa gramu 110 kadiri ya vipimo vya hema takatifu vilikuwa na jumla ya uzito wa kilo moja na gramu 320.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sahani kumi na mbili za dhahabu zilizojazwa uvumba zilikuwa na uzito wa shekeli kumi kila moja, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu. Kwa jumla, sahani za dhahabu zilikuwa na uzito wa shekeli 120.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sahani kumi na mbili za dhahabu zilizojazwa uvumba zilikuwa na uzito wa shekeli kumi kila moja, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu. Kwa jumla, sahani za dhahabu zilikuwa na uzito wa shekeli 120.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na vijiko vya dhahabu vilivyojaa uvumba kumi na viwili, uzani wake kila kijiko shekeli kumi, kwa shekeli ya mahali patakatifu; dhahabu yote ya vile vijiko ilikuwa shekeli mia moja na ishirini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vile visahani vya dhahabu kumi na viwili vyenye kujaa ubani, kila kimoja kikiwa na uzito wa gramu 110 kadiri ya vipimo vya hema takatifu vilikuwa na jumla ya uzito wa kilo moja na gramu 320.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vijiko vya dhahabu vilivyojaa mavukizo vilikuwa 12, kila kijiko kimoja kiasi chake kilikuwa vipande kumi vya dhahabu, ndio fedha 180; dhahabu zote za hivyo vijiko vilikuwa vipande 120, ndio fedha 2160.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)