Numbers 8:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utakapowaleta Walawi mbele yangu, Waisraeli watawawekea Walawi mikono,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utawaleta Walawi mbele za Mwenyezi Mungu, na Waisraeli wataweka mikono yao juu ya Walawi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nawe utawahudhurisha Walawi mbele za Bwana; kisha wana wa Israeli wataweka mikono yao juu ya Walawi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utakapowaleta Walawi mbele yangu, Waisraeli watawawekea Walawi mikono,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utawaleta Walawi mbele za BWANA, na Waisraeli wataweka mikono yao juu ya Walawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utawaleta Walawi mbele za bwana, na Waisraeli wataweka mikono yao juu ya Walawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nawe utawaleta Walawi mbele za BWANA; kisha wana wa Israeli wataweka mikono yao juu ya Walawi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utakapowaleta Walawi mbele yangu, Waisraeli watawawekea Walawi mikono,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha watokeze Walawi usoni pa Bwana, wana wa Isiraeli wakiwabandikia Walawi mikono yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nawe utawahudhurisha Walawi mbele za BWANA; kisha wana wa Israeli wataweka mikono yao juu ya Walawi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakapowaleta Walawi mbele yangu, Waisraeli watawawekea Walawi mikono.