Numbers 8:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha utawasimamisha Walawi mbele ya Aroni na wanawe na kuwaweka mbele yangu kama sadaka ya kutikiswa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waambie hao Walawi wasimame mbele ya Haruni na wanawe, kisha wawatoe wawe sadaka ya kuinuliwa kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha utawaweka Walawi mbele ya Haruni, na mbele ya wanawe na kuwasongeza kwa Bwana wawe sadaka ya kutikiswa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha utawasimamisha Walawi mbele ya Aroni na wanawe na kuwaweka mbele yangu kama sadaka ya kutikiswa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waambie hao Walawi wasimame mbele ya Aroni na wanawe, kisha wawatoe kama sadaka ya kupunga kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waambie hao Walawi wasimame mbele ya Haruni na wanawe, kisha wawatoe kama sadaka ya kuinuliwa kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha utawaweka Walawi mbele ya Haruni, na mbele ya wanawe na kuwasongeza kwa BWANA wawe sadaka ya kutikiswa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kisha utawasimamisha Walawi mbele ya Aroni na wanawe na kuwaweka mbele yangu kama sadaka ya kutikiswa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wasimamishe Walawi mbele ya Haroni na mabele ya wanawe na kuwapitishwa mbele ya Bwana huku na huko, wawe kipaji cha tambiko cha kupitishwa motoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha utawaweka Walawi mbele ya Haruni, na mbele ya wanawe na kuwasongeza kwa BWANA wawe sadaka ya kutikiswa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha utawasimamisha Walawi mbele ya Haruni na wana wake na kuwaweka mbele yangu kama vile sadaka ya kutikiswa.