Numbers 8:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivi ndivyo utakavyowatenga Walawi miongoni mwa Waisraeli wengine ili wawe wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa njia hii utakuwa umewatenga Walawi kutoka kwa Waisraeli wengine, nao Walawi watakuwa wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo utakavyowatenga Walawi na kuwatoa katika wana wa Israeli; na Walawi watakuwa wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivi ndivyo utakavyowatenga Walawi miongoni mwa Waisraeli wengine ili wawe wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa njia hii utakuwa umewatenga Walawi kutoka Waisraeli wengine, nao Walawi watakuwa wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa njia hii utakuwa umewatenga Walawi kutoka kwa Waisraeli wengine, nao Walawi watakuwa wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo utakavyowatenga Walawi na kuwatoa katika wana wa Israeli; na Walawi watakuwa wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivi ndivyo utakavyowatenga Walawi miongoni mwa Waisraeli wengine ili wawe wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, utakavyowatenga Walawi na kuwatoa katikati ya wana wa Isiraeli, Walawi wapate kuwa wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo utakavyowatenga Walawi na kuwatoa katika wana wa Israeli; na Walawi watakuwa wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi ndivyo utakavyowatenga Walawi kati ya Waisraeli wengine kusudi wakuwe wangu.