Numbers 8:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kuwatakasa Walawi na kuwatoa kama sadaka ya kutikiswa wataingia ili kuhudumu katika hema la mkutano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Utakapokuwa umekwisha kuwatakasa Walawi na kuwatoa wawe sadaka ya kuinuliwa, watakuja kufanya kazi yao katika Hema la Kukutania.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha baadaye Walawi wataingia ndani, ili wafanye utumishi wa hema ya kukutania; nawe utawatakasa, na kuwasongeza wawe sadaka ya kutikiswa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kuwatakasa Walawi na kuwatoa kama sadaka ya kutikiswa wataingia ili kuhudumu katika hema la mkutano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Utakapokuwa umekwisha kuwatakasa Walawi na kuwatoa kama sadaka ya kupunga, watakuja kufanya kazi yao katika Hema la Kukutania.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Utakapokuwa umekwisha kuwatakasa Walawi na kuwatoa kama sadaka ya kuinuliwa, watakuja kufanya kazi yao katika Hema la Kukutania.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha baadaye Walawi wataingia ndani, ili wahudumu katika hema ya kukutania; nawe utawatakasa, na kuwasongeza wawe sadaka ya kutikiswa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kuwatakasa Walawi na kuwatoa kama sadaka ya kutikiswa wataingia ili kuhudumu katika hema la mkutano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baadaye Walawi na waingie kulitumikia Hema la Mkutano. Hivyo ndivyo, utakavyowatakasa na kuwapitisha huku na huko mbele ya Bwana, wawe kipaji cha tambiko cha kupitishwa motoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha baadaye Walawi wataingia ndani, ili wafanye utumishi wa hema ya kukutania; nawe utawatakasa, na kuwasongeza wawe sadaka ya kutikiswa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kuwatakasa Walawi na kuwatoa kama vile sadaka ya kutikiswa wataingia kwa kutumika katika hema la mukutano.