Numbers 9:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wasibakize chakula chochote hadi asubuhi, wala wasivunje hata mfupa mmoja wa wanyama wa Pasaka. Wataiadhimisha sikukuu hii ya Pasaka kulingana na kanuni zake zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wasibakize chochote hadi asubuhi wala wasivunje mifupa ya mwana-kondoo. Wanapoiadhimisha Pasaka, hawana budi kufuata masharti yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wasisaze kitu chake cho chote hata asubuhi, wala wasimvunje mfupa wake; kama hiyo sheria yote ya Pasaka ilivyo ndivyo watakavyoishika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wasibakize chakula chochote hadi asubuhi, wala wasivunje hata mfupa mmoja wa wanyama wa Pasaka. Wataiadhimisha sikukuu hii ya Pasaka kulingana na kanuni zake zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wasibakize cho chote hadi asubuhi wala wasivunje mifupa ya mwana-kondoo. Wakati wanapoadhimisha Pasaka, hawana budi kufuata masharti yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wasibakize chochote hadi asubuhi wala wasivunje mifupa ya mwana-kondoo. Wakati wanapoadhimisha Pasaka, hawana budi kufuata masharti yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wasisaze kitu chake chochote hadi asubuhi, wala wasimvunje mfupa wake; kama hiyo sheria yote ya Pasaka ilivyo ndivyo watakavyoishika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wasibakize chakula chochote hadi asubuhi, wala wasivunje hata mfupa mmoja wa wanyama wa Pasaka. Wataiadhimisha sikukuu hii ya Pasaka kulingana na kanuni zake zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wasisaze nyama mpaka kesho, tena watu wasivunje mifupa, ila waile na kuyafuata maongozi yote ya Pasaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wasisaze kitu chake cho chote hata asubuhi, wala wasimvunje mfupa wake; kama hiyo sheria yote ya Pasaka ilivyo ndivyo watakavyoishika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wasiache chakula chochote mpaka asubui, wala wasivunje hata mufupa mumoja wa nyama wa Pasaka. Watafanya sikukuu hii ya Pasaka kulingana na sharti lake lote.