Numbers 9:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ambayo hema takatifu lilisimikwa, wingu lilishuka na kulifunika hema la maamuzi. Wakati wa usiku wingu hilo lilionekana kama moto mpaka asubuhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku hiyo ambayo Maskani, Hema la Ushuhuda, iliposimamishwa, wingu liliifunika. Kuanzia jioni hadi asubuhi wingu lililokuwa juu ya Maskani lilionekana kama moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na siku hiyo maskani iliposimamishwa, lile wingu likaifunika maskani, yaani, hema ya kukutania; wakati wa jioni likawa juu ya maskani, mfano wa moto, hata asubuhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ambayo hema takatifu lilisimikwa, wingu lilishuka na kulifunika hema la maamuzi. Wakati wa usiku wingu hilo lilionekana kama moto mpaka asubuhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku hiyo ambayo Maskani, Hema la Ushuhuda, liliposimamishwa, wingu liliifunika. Kuanzia jioni mpaka asubuhi wingu lililokuwa juu ya maskani lilionekana kama moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku hiyo ambayo Maskani, Hema la Ushuhuda, iliposimamishwa, wingu liliifunika. Kuanzia jioni mpaka asubuhi wingu lililokuwa juu ya Maskani lilionekana kama moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na siku hiyo maskani iliposimamishwa, lile wingu likaifunika maskani, yaani, hema ya kukutania; wakati wa jioni likawa juu ya maskani, mfano wa moto, hata asubuhi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ambayo hema takatifu lilisimikwa, wingu lilishuka na kulifunika hema la maamuzi. Wakati wa usiku wingu hilo lilionekana kama moto mpaka asubuhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo, walipolisimamisha Kao, lile wingu likalifunika Kao kuwa juu yake Hema la Ushahidi; lakini jioni likaonekana juu ya Kao kuwa kama moto mpaka asubui.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na siku hiyo maskani iliposimamishwa, lile wingu likaifunika maskani, yaani, hema ya kukutania; wakati wa jioni likawa juu ya maskani, mfano wa moto, hata asubuhi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ambayo hema takatifu lilisimikwa, wingu likashuka na kufunika hema la kuchunga vibao vya agano. Wakati wa usiku wingu hilo lilionekana kama moto mpaka asubui.