Numbers 9:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo ndivyo ilivyokuwa kila siku; wingu lililifunika hema mchana, na usiku lilionekana kama moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo ndivyo lilivyoendelea kuwa; wingu liliifunika wakati wa mchana, na usiku lilionekana kama moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo ilivyokuwa sikuzote; lile wingu liliifunika kwa mfano wa moto usiku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo ndivyo ilivyokuwa kila siku; wingu lililifunika hema mchana, na usiku lilionekana kama moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo ndivyo lilivyoendelea kuwa; wingu liliifunika wakati wa mchana, na usiku lilionekana kama moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo ndivyo lilivyoendelea kuwa; wingu liliifunika wakati wa mchana, na usiku lilionekana kama moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo ilivyokuwa siku zote; lile wingu liliifunika kwa mfano wa moto usiku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo ndivyo ilivyokuwa kila siku; wingu lililifunika hema mchana, na usiku lilionekana kama moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vikawa hivyo siku zote: hilo wingu lililifunika Kao, tena usiku likaonekana kuwa kama moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo ilivyokuwa sikuzote; lile wingu liliifunika kwa mfano wa moto usiku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi ndivyo ilivyokuwa kila siku; wingu lilifunika hema muchana, na usiku lilionekana kama moto.