Numbers 9:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mara wingu hilo lilipoinuliwa juu ya hema, Waisraeli walivunja kambi na kupiga kambi tena mahali wingu hilo lilipotua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wowote wingu lilipoinuka kutoka juu ya Hema, nao Waisraeli waliondoka; mahali popote wingu lilipotua, Waisraeli walipiga kambi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kila lilipoinuliwa lile wingu juu ya ile Hema ndipo wana wa Israeli waliposafiri; na mahali lilipokaa lile wingu, ndipo wana wa Israeli walipopiga kambi yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mara wingu hilo lilipoinuliwa juu ya hema, Waisraeli walivunja kambi na kupiga kambi tena mahali wingu hilo lilipotua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wo wote wingu lilipoinuka kutoka juu ya Hema, nao Waisraeli waliondoka; mahali po pote wingu liliposimama, Waisraeli walipiga kambi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wowote wingu lilipoinuka kutoka juu ya Hema, nao Waisraeli waliondoka; mahali popote wingu liliposimama, Waisraeli walipiga kambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kila lilipoinuliwa lile wingu juu ya ile Hema ndipo wana wa Israeli waliposafiri; na mahali lilipokaa lile wingu, ndipo wana wa Israeli walipopiga kambi yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mara wingu hilo lilipoinuliwa juu ya hema, Waisraeli walivunja kambi na kupiga kambi tena mahali wingu hilo lilipotua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napo, hilo wingu lilipoondoka penye Hema, likiisha, ndipo, wana wa Isiraeli walipoondoka kwenda safari yao; napo mahali, hilo wingu lilipotua, ndipo, wana wa Isiraeli walipopiga makambi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kila lilipoinuliwa lile wingu juu ya ile Hema ndipo wana wa Israeli waliposafiri; na mahali lilipokaa lile wingu, ndipo wana wa Israeli walipopiga kambi yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mara wingu hilo lilipoinuliwa juu ya hema, Waisraeli walivunja kambi na kupiga kambi tena pahali wingu hilo lilipotua.