Numbers 9:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati mwingine wingu hilo lilikaa juu ya hema kwa muda wa siku chache tu; lakini kila wakati Waisraeli walibaki kambini; walihama kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati mwingine wingu lilikuwa juu ya Maskani kwa siku chache tu; kwa amri ya Mwenyezi Mungu wangepiga kambi na kisha kwa amri yake wangeondoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na pengine lile wingu lilikaa juu ya maskani siku chache; ndipo kwa amri ya Bwana walikaa katika kambi yao, tena kwa amri ya Bwana walisafiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati mwingine wingu hilo lilikaa juu ya hema kwa muda wa siku chache tu; lakini kila wakati Waisraeli walibaki kambini; walihama kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mwingine wingu lilikuwa juu ya Maskani kwa siku chache tu; kwa amri ya BWANA wangelipiga kambi na kisha kwa amri yake wangeliondoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati mwingine wingu lilikuwa juu ya Maskani kwa siku chache tu; kwa amri ya bwana wangelipiga kambi na kisha kwa amri yake wangeliondoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na pengine lile wingu lilikaa juu ya maskani siku chache; ndipo kwa amri ya BWANA walikaa katika kambi yao, tena kwa amri ya BWANA walisafiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati mwingine wingu hilo lilikaa juu ya hema kwa muda wa siku chache tu; lakini kila wakati Waisraeli walibaki kambini; walihama kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wingu lilipokuwa juu ya Kao siku chache tu, walikaa makambini kwa kuagizwa na Bwana; tena kwa kuagizwa na Bwana waliondoka kwenda safari yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na pengine lile wingu lilikaa juu ya maskani siku chache; ndipo kwa amri ya BWANA walikaa katika kambi yao, tena kwa amri ya BWANA walisafiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati mwingine wingu hilo lilikaa juu ya hema kwa muda wa siku chache tu. Kwa agizo la Yawe, Waisraeli walipiga kambi na ni kwa agizo la Yawe walisafiri.