Numbers 9:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakawaambia, “Sisi tu najisi kwa kuwa tumegusa maiti, lakini kwa nini tukatazwe kumtolea Mwenyezi-Mungu sadaka zake kwa wakati uliopangwa pamoja na Waisraeli wengine?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakamwambia Musa, “Tumekuwa najisi kwa sababu tumegusa maiti, lakini kwa nini tuzuiliwe kumtolea Mwenyezi Mungu sadaka yake pamoja na Waisraeli wengine katika wakati ulioamriwa?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sisi tu hali ya unajisi kwa ajili ya maiti wa mtu; nasi tumezuiwa kwa nini hata tusipate kumtolea Bwana matoleo kwa wakati wake ulioagizwa, kati ya wana wa Israeli?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakawaambia, “Sisi tu najisi kwa kuwa tumegusa maiti, lakini kwa nini tukatazwe kumtolea Mwenyezi-Mungu sadaka zake kwa wakati uliopangwa pamoja na Waisraeli wengine?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakamwambia Mose, “Tumekuwa najisi kwa sababu tumegusa maiti, lakini kwa nini tuzuiliwe kumtolea BWANA sadaka yake pamoja na Waisraeli wengine katika wakati ulioamuriwa?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakamwambia Musa, “Tumekuwa najisi kwa sababu tumegusa maiti, lakini kwa nini tuzuiliwe kumtolea bwana sadaka yake pamoja na Waisraeli wengine katika wakati ulioamriwa?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sisi tuko katika hali ya unajisi kwa ajili ya maiti wa mtu; nasi tumezuiwa kwa nini hata tusipate kumtolea BWANA matoleo kwa wakati wake ulioagizwa, kati ya wana wa Israeli?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakawaambia, “Sisi tu najisi kwa kuwa tumegusa maiti, lakini kwa nini tukatazwe kumtolea Mwenyezi-Mungu sadaka zake kwa wakati uliopangwa pamoja na Waisraeli wengine?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao watu wakawaambia: Sisi tu wenye uchafu kwa ajili ya kufiwa; mbona tunakatazwa kumtolea Bwana matoleo katikati ya wana wa Isiraeli siku hiyo iliyowekwa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sisi tu hali ya unajisi kwa ajili ya maiti wa mtu; nasi tumezuiwa kwa nini hata tusipate kumtolea BWANA matoleo kwa wakati wake ulioagizwa, kati ya wana wa Israeli?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakawaambia: Sisi tuko wachafu kwa sababu tumegusa maiti, lakini kwa nini tukatazwe kumutolea Yawe sadaka zake kwa wakati uliopangwa pamoja na Waisraeli wengine?