Numbers 9:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akawajibu, “Ngojeni mpaka hapo nitakapopata maagizo juu yenu kutoka kwa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akawajibu, “Ngojeni hadi nitafute kile Mwenyezi Mungu anachoagiza kuwahusu ninyi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akawaambia, Ngojeni hapo; hata nipate sikiza Bwana atakaloagiza juu yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akawajibu, “Ngojeni mpaka hapo nitakapopata maagizo juu yenu kutoka kwa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akawajibu, “Ngojeni mpaka nitafute kile BWANA anachoagiza kuwahusu ninyi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akawajibu, “Ngojeni mpaka nitafute kile bwana anachoagiza kuwahusu ninyi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akawaambia, Ngojeni hapo; hata nipate kumsikiliza BWANA atakaloniagiza juu yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akawajibu, “Ngojeni mpaka hapo nitakapopata maagizo juu yenu kutoka kwa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akawaambia: Ngojeni, nisikie, Bwana atakayoyaagiza kwa ajili yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akawaambia, Ngojeni hapo; hata nipate sikiza BWANA atakaloagiza juu yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akawajibu: Mungojee mpaka pale nitakapopata maagizo juu yenu kutoka kwa Yawe.