Obadiah 1:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msingeliingia katika mji wa watu wangu, siku walipokumbwa na maafa; msingelipora mali zao, siku hiyo ya maafa yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usingeingia katika malango ya watu wangu katika siku ya maafa yao, wala kuwadharau katika janga lao katika siku ya maafa yao, wala kunyang’anya mali yao katika siku ya maafa yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiingie katika lango la watu wangu, siku ya msiba wao; naam, usiyatazame mateso yao, siku ya msiba wao; wala usitie mikono yako juu ya mali zao, siku ya msiba wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msingeliingia katika mji wa watu wangu, siku walipokumbwa na maafa; msingelipora mali zao, siku hiyo ya maafa yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usingeingia katika malango ya watu wangu katika siku ya maafa yao, wala kuwadharau katika janga lao katika siku ya maafa yao, wala kunyang'anya mali zao katika siku ya maafa yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usingeingia katika malango ya watu wangu katika siku ya maafa yao, wala kuwadharau katika janga lao katika siku ya maafa yao, wala kunyang’anya mali zao katika siku ya maafa yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiingie katika lango la watu wangu, siku ya msiba wao; naam, usiyatazame mateso yao, siku ya msiba wao; wala usitie mikono yako juu ya mali zao, siku ya msiba wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msingeliingia katika mji wa watu wangu, siku walipokumbwa na maafa; msingelipora mali zao, siku hiyo ya maafa yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala usiingie malangoni mwao walio ukoo wangu siku, wakiteseka! Wala usiwaonee nawe, wakipatwa na mabaya siku, wakiteseka! Wala usiinyoshe mikono yako kukamata mali zao siku, wakiteseka!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiingie katika lango la watu wangu, siku ya msiba wao; naam, usiyatazame mateso yao, siku ya msiba wao; wala usitie mikono yako juu ya mali zao, siku ya msiba wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hamukupaswa kuingia katika muji wa watu wangu, siku walipopatwa na hasara, hamukupaswa kukamata mali zao, siku hiyo ya hasara yao,