Obadiah 1:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu aliambia taifa la Edomu: “Nitakufanya mdogo miongoni mwa mataifa, utadharauliwa kabisa na wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tazama, nitakufanya mdogo miongoni mwa mataifa, utadharauliwa kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, nimekufanya mdogo kati ya mataifa; Umedharauliwa sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu aliambia taifa la Edomu: “Nitakufanya mdogo miongoni mwa mataifa, utadharauliwa kabisa na wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Angalieni, nitawafanya wadogo miongoni mwa mataifa, mtadharauliwa kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Angalieni, nitawafanya wadogo miongoni mwa mataifa, mtadharauliwa kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, nimekufanya mdogo kati ya mataifa; Umedharauliwa sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu aliambia taifa la Edomu: “Nitakufanya mdogo miongoni mwa mataifa, utadharauliwa kabisa na wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utaniona, nikikufanya kuwa mdogo katika mataifa, ubezwe kabisa wewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, nimekufanya mdogo kati ya mataifa; Umedharauliwa sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe aliambia taifa la Edomu: Nitakufanya kuwa mudogo kati ya mataifa, utazarauliwa kabisa na wote.