Obadiah 1:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kiburi chako kimekudanganya: Kwa kuwa mji wako mkuu ni ngome ya miamba imara na makao yako yapo juu milimani, hivyo wajisemea, ‘Nani awezaye kunishusha chini?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, wewe unayeishi katika mapango ya miamba na kufanya makao yako juu, wewe unayejiambia mwenyewe, ‘Ni nani awezaye kunishusha chini?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, Wewe ukaaye katika pango za majabali, Mwenye makao yako juu sana; Asemaye moyoni, Ni nani atakayenishusha mimi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kiburi chako kimekudanganya: kwa kuwa mji wako mkuu ni ngome ya miamba imara na makao yako yapo juu milimani, hivyo wajisemea, ‘Nani awezaye kunishusha chini?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, wewe unayeishi kwenye nyufa za miamba na kufanya makao yako juu, wewe unayejiambia mwenyewe, ‘Ni nani awezaye kunishusha chini?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, wewe unayeishi katika majabali ya miamba na kufanya makao yako juu, wewe unayejiambia mwenyewe, ‘Ni nani awezaye kunishusha chini?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, Wewe ukaaye katika mapango ya majabali, Mwenye makao yako juu sana; Asemaye moyoni, Ni nani atakayenishusha mimi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kiburi chako kimekudanganya: Kwa kuwa mji wako mkuu ni ngome ya miamba imara na makao yako yapo juu milimani, hivyo wajisemea, ‘Nani awezaye kunishusha chini?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Majivuno ya moyo wako yamekudanganya ukaaye nyufani kwenye miamba katika makao yaliyoko huko juu, ukasema moyoni mwako: Yuko nani atakayenibwaga chini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, Wewe ukaaye katika pango za majabali, Mwenye makao yako juu sana; Asemaye moyoni, Ni nani atakayenishusha mimi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiburi chako kimekudanganya: wewe unayekaa ndani ya mashimo chini ya mawe makubwa na makao yako yapo juu kwenye milima, hivyo unajisemesha: Nani anayeweza kunishusha chini?