Obadiah 1:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama wezi au wanyang'anyi wangekujia usiku, je, wasingechukua tu kiasi cha kuwatosha? Ikiwa wavunaji zabibu wangekujia, je, wasingekuachia kiasi kidogo tu? Lakini wewe, adui zako wamekuangamiza kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ikiwa wezi wangekuja kwako, ikiwa wanyang’anyi wangekujia usiku: Lo! Tazama ni maafa kiasi gani yanakungojea: je, si wangeiba tu kiasi ambacho wangehitaji? Kama wachuma zabibu wangekuja kwako, je, wasingebakiza zabibu chache?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama wevi wangekujilia, kama wanyang'anyi wangekujilia usiku, (jinsi ulivyokatiliwa mbali!) Je! Wasingeiba kiasi cha kuwatosha? Kama wachumao zabibu wangekujilia, je! Wasingeacha baadhi ya zabibu, ziokotwe?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama wezi au wanyang'anyi wangekujia usiku, je, wasingechukua tu kiasi cha kuwatosha? Ikiwa wavunaji zabibu wangekujia, je, wasingekuachia kiasi kidogo tu? Lakini wewe, adui zako wamekuangamiza kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ikiwa wevi wangekuja kwako, ikiwa wanyang'anyi wangekujia usiku: Lo! Tazama ni maafa kiasi gani yangekuwa yanakungojea: je, si wangeiba tu kiasi kile wanachotaka? Kama wachuma zabibu wangekuja kwako, je, wasingebakiza zabibu chache?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ikiwa wevi wangekuja kwako, ikiwa wanyang’anyi wangekujia usiku: Lo! Tazama ni maafa kiasi gani yangekuwa yanakungojea: je, si wangeiba tu kiasi ambacho wangehitaji? Kama wachuma zabibu wangekuja kwako, je, wasingebakiza zabibu chache?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama wezi wangekujia, kama wanyang'anyi wangekujia usiku, (jinsi ulivyokatiliwa mbali!) Je! Wasingeiba kiasi cha kuwatosha? Kama wachumao zabibu wangekujia, je! Wasingeacha baadhi ya zabibu, ziokotwe?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama wezi au wanyang'anyi wangekujia usiku, je, wasingechukua tu kiasi cha kuwatosha? Ikiwa wavunaji zabibu wangekujia, je, wasingekuachia kiasi kidogo tu? Lakini wewe, adui zako wamekuangamiza kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama wezi wangekujia, au kama waangamizaji wangekujia usiku, wasingeiba tu, mpaka wakitoshewa? Lakini nawe ungekuwa umeangamizwa kabisa. Kama wachuma zabibu wangekujia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama wevi wangekujilia, kama wanyang’anyi wangekujilia usiku, (jinsi ulivyokatiliwa mbali!) Je! Wasingeiba kiasi cha kuwatosha? Kama wachumao zabibu wangekujilia, je! Wasingeacha baadhi ya zabibu, ziokotwe?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama wizi au wanyanganyi wangekufikia usiku, si wao wangekuiba tu vitu wanavyokuwa navyo lazima? Ikiwa wavunaji wa zabibu wangekufikia, si wangekuachia sehemu ndogo tu? Lakini wewe, waadui zako wamekuangamiza kabisa.