Obadiah 1:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi wazawa wa Esau, mali zenu zimetekwa; hazina zenu zote zimeporwa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini tazama jinsi Esau atakavyotekwa, jinsi hazina zake zilizofichwa zitatekwa nyara!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jinsi watu wa Esau wanavyotafutwa-tafutwa! Jinsi hazina zake zilizofichwa zinavyoulizwa-ulizwa!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi wazawa wa Esau, mali zenu zimetekwa; hazina zenu zote zimeporwa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini tazama ni jinsi gani Esau atatekwa, hazina zake zilizofichwa zitatekwa nyara!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini tazama jinsi Esau atakavyotekwa, jinsi hazina zake zilizofichwa zitatekwa nyara!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jinsi watu wa Esau wanavyotafutwatafutwa! Jinsi hazina zake zilizofichwa zinavyoulizwaulizwa!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi wazawa wa Esau, mali zenu zimetekwa; hazina zenu zote zimeporwa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini tazameni, mali za Esau zilivyotafutwa zote, malimbiko yake nayo yalivyochunguzwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jinsi watu wa Esau wanavyotafutwa-tafutwa! Jinsi hazina zake zilizofichwa zinavyoulizwa-ulizwa!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi wazao wa Esau, mali yenu imenyanganywa, akiba zenu zote zilizofichwa zimevumbuliwa!