Philemon 1:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni Onesimo yuleyule ambaye wakati mmoja alikuwa hakufai kitu, lakini sasa ananifaa mimi na wewe pia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanzoni alikuwa hakufai, lakini sasa anakufaa sana wewe na mimi pia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambaye zamani alikuwa hakufai, bali sasa akufaa sana, wewe na mimi pia;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Huyo ambaye siku za nyuma hakuwa wa manufaa kwako, lakini sasa anafaa sio kwako tu bali hata kwangu mimi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ni Onesimo yuleyule ambaye wakati mmoja alikuwa hakufai kitu, lakini sasa ananifaa mimi na wewe pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni Onesimo yuleyule ambaye wakati mmoja alikuwa hakufai kitu, lakini sasa ananifaa mimi na wewe pia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanzoni alikuwa hakufai, lakini sasa anakufaa sana wewe na mimi pia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanzoni alikuwa hakufai, lakini sasa anakufaa sana wewe na mimi pia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambaye zamani alikuwa hakufai, bali sasa akufaa sana, wewe na mimi pia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni Onesimo yuleyule ambaye wakati mmoja alikuwa hakufai kitu, lakini sasa ananifaa mimi na wewe pia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
asiyekufalia kale, lakini sasa anatufalia sana, wewe hata mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambaye zamani alikuwa hakufai, bali sasa akufaa sana, wewe na mimi pia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zamani yeye hakukufalia kitu, lakini sasa atakufalia wewe na mimi vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
ambae zamani allkuwa hakufai, hali sasa akufaa saua, wewe na mimi pia;