Philemon 1:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa namrudisha kwako, naye ni kama moyo wangu mimi mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Namtuma kwako, yeye aliye moyo wangu hasa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
niliyemtuma kwako, yeye mwenyewe, maana ni moyo wangu hasa;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninamrudisha kwako, kitu ambacho kimekuwa kigumu sawa na kuupoteza moyo wangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sasa namrudisha kwako, naye ni kama moyo wangu mimi mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa namrudisha kwako, naye ni kama moyo wangu mimi mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Namtuma kwako, yeye aliye moyo wangu hasa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Namtuma kwako, yeye aliye moyo wangu hasa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
niliyemtuma kwako, yeye mwenyewe, maana ni moyo wangu hasa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa namrudisha kwako, naye ni kama moyo wangu mimi mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikimrudisha kwako, ni kama nitautuma moyo wangu mwenyewe, ukufikie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
niliyemtuma kwako, yeye mwenyewe, maana ni moyo wangu hasa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa ninamurudisha kwako, naye ni kama moyo wangu mimi mwenyewe.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
niliyemtuma kwako, nawe umkubali, maana ni moyo wangu;