Philemon 1:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Labda Onesimo aliondoka kwako kwa kitambo tu, kusudi uweze tena kuwa naye daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huenda sababu ya Onesimo kutengwa nawe kwa muda ni ili uwe naye daima,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, labda ndiyo sababu alitengwa nawe kwa muda, ili uwe naye tena milele;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Labda sababu ya Onesimo kutenganishwa nawe kwa kipindi kifupi ni kuwezesha muwe pamoja siku zote,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Labda Onesimo aliondoka kwako kwa kitambo tu, kusudi uweze tena kuwa naye daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Labda Onesimo aliondoka kwako kwa kitambo tu, kusudi uweze tena kuwa naye daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huenda sababu ya yeye kutengwa nawe kwa kitambo kidogo ni ili uwe naye daima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huenda sababu ya yeye kutengwa nawe kwa kitambo kidogo ni ili uwe naye daima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, labda ndiyo sababu alitengwa nawe kwa muda, ili uwe naye tena milele;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Labda Onesimo aliondoka kwako kwa kitambo tu, kusudi uweze tena kuwa naye daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani labda kwa sababu hii ametengwa nawe siku chache, upate kuwa naye kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, labda ndiyo sababu alitengwa nawe kwa muda, ili uwe naye tena milele;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Labda hii ndiyo sababu Onesimo aliachana nawe kwa muda, kusudi upate tena kuwa naye siku zote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana, labda ndio sababu alitengwa nawe muda kitambo illi uwe nae tena milele;