Philemon 1:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, ikiwa wanitambua mimi kuwa mwenzako, mpokee tena kama vile ungenipokea mimi mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo kama unanihesabu mimi kuwa mshirika nawe, mkaribishe kama vile ungenikaribisha mimi mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi kama ukiniona mimi kuwa mshirika nawe, mpokee huyu kama mimi mwenyewe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikiwa unanitambua mimi kama niliye mwenye imani moja nawe, basi mpokee Onesimo na umkubali kama vile ambavyo ungenikubali.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, ikiwa wanitambua mimi kuwa mwenzako, mpokee tena kama vile ungenipokea mimi mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, ikiwa wanitambua mimi kuwa mwenzako, mpokee tena kama vile ungenipokea mimi mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo kama unanihesabu mimi kuwa mshirika wako, mkaribishe kama vile ungenikaribisha mimi mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo kama unanihesabu mimi kuwa mshirika wako, mkaribishe kama vile ungenikaribisha mimi mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ikiwa waniona mimi kuwa mshirika nawe, mpokee huyu kama ambavyo ungenipokea mimi mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, ikiwa wanitambua mimi kuwa mwenzako, mpokee tena kama vile ungenipokea mimi mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, kama waniwazia kuwa mwenzio, mpokee yeye kama mimi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi kama ukiniona mimi kuwa mshirika nawe, mpokee huyu kama mimi mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi kama unaendelea kunihesabu kuwa mwenzako, umupokee kama vile ungenipokea mimi mwenyewe.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi kama ukiniona mimi kuwa mshirika nawe, mpokee huyu kama mimi.