Philemon 1:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama alikuwa amekukosea kitu, au alikuwa na deni lako, basi, unidai mimi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama amekukosea lolote au kama unamdai chochote, nidai mimi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kama amekudhulumu, au unamwia kitu, ukiandike hicho juu yangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Endapo amekukosea jambo lo lote au unamdai kitu cho chote, unidai mimi badala yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama alikuwa amekukosea kitu, au alikuwa na deni lako, basi, unidai mimi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama alikuwa amekukosea kitu, au alikuwa na deni lako, basi, unidai mimi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama amekukosea lo lote au kama unamdai cho chote, nidai mimi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama amekukosea lolote au kama unamdai chochote, nidai mimi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kama amekudhulumu, au unamdai kitu, ukiandike hicho juu yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama alikuwa amekukosea kitu, au alikuwa na deni lako, basi, unidai mimi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama kiko chako, alichokipotoa, au kama yuko na deni kwako, hayo nibandikie mimi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kama amekudhulumu, au unamwia kitu, ukiandike hicho juu yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama alikukosea au kama yuko na deni yako ya kitu chochote, unidai mimi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na kama amekudhulumu, au awiwa nawe kitu, ukiandike juu yangu.