Philemon 1:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kanisa linalokutana nyumbani kwako, na wewe dada Afia, na askari mwenzetu Arkipo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kundi la waumini wanaokutana nyumbani mwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kwa Afia, ndugu yetu, na kwa Arkipo askari mwenzetu, na kwa kanisa lililo katika nyumba yako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
kwa Afia dada yetu, Arkipo askari mwenzetu na kwa kanisa linalokutania nyumbani mwako.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na kanisa linalokutana nyumbani kwako, na wewe dada Afia, na askari mwenzetu Arkupo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kanisa linalokutana nyumbani kwako, na wewe dada Afia, na askari mwenzetu Arkipo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kanisa lile likutanalo nyumbani mwako:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kundi la waumini lile likutanalo nyumbani mwako:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kwa Afia, dada yetu, na kwa Arkipo askari mwenzetu, na kwa kanisa lililo katika nyumba yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kanisa linalokutana nyumbani kwako, na wewe dada Afia, na askari mwenzetu Arkipo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tunakusalimu na wewe, Apia, uliye dada yetu, na wewe, Arkipo, uliye mwenzetu wa kupiga vita. Tunawasalimu nao wateule wote waliomo nyumbani mwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kwa Afia, ndugu yetu, na kwa Arkipo askari mwenzetu, na kwa kanisa lililo katika nyumba yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kanisa linalokusanyika katika nyumba yako, na dada yetu Apia na Arkipo mupiganaji mwenzetu wa vita.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na kwa Appia, ndugu yetu mpendwa, na kwa Arkippo askari mwenzetu, na kwa kanisa lililo katika nyumba yako;