Philemon 1:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, ndugu yangu, nifanyie jambo hilo kwa ajili ya jina la Bwana; burudisha moyo wangu kama ndugu katika Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndugu yangu, natamani nipate faida kwako katika Bwana Isa, yaani uniburudishe moyo wangu katika Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, ndugu yangu, nipate faida kwako katika Bwana; uniburudishe moyo wangu katika Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa hiyo kaka yangu, kama mfuasi wa Bwana, tafadhali nipe upendeleo katika hili. Ndipo itakuwa faraja kuu kwangu kama kaka yako katika Kristo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Haya, basi, ndugu yangu, nifanyie jambo hilo kwa ajili ya jina la Bwana; burudisha moyo wangu kama ndugu katika Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, ndugu yangu, nifanyie jambo hilo kwa ajili ya jina la Bwana; burudisha moyo wangu kama ndugu katika Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndugu yangu, natamani nipate faida kwako katika Bwana, uuburudishe moyo wangu katika Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndugu yangu, natamani nipate faida kwako katika Bwana Isa, uuburudishe moyo wangu katika Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, ndugu yangu, nifaidi kwa hili katika Bwana; uniburudishe moyo wangu katika Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, ndugu yangu, nifanyie jambo hilo kwa ajili ya jina la Bwana; burudisha moyo wangu kama ndugu katika Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli, ndugu yangu, nataka kuona upato kwako, maana u wake Bwana. Upatie moyo wangu kituo kwake Kristo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, ndugu yangu, nipate faida kwako katika Bwana; uniburudishe moyo wangu katika Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndiyo, ndugu yangu, ninakusihi unisaidie kwa njia hii kwa ajili ya Bwana, unitulize moyo kama vile ndugu katika Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Naam, ndugu yangu, nipate faida kwako katika Bwana; uniburudishe moyo waugu katika Kristo.