Philemon 1:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao akina Marko, Aristarko, Dema na Luka, wafanyakazi wenzangu, wanakusalimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vivyo hivyo Marko, Aristarko, Dema na Luka, watendakazi wenzangu wanakusalimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Marko, na Aristarko, na Dema, na Luka, watendao kazi pamoja nami.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Marko, Aristarko, Dema, na Luka watendakazi pamoja nami nao wanakusalimu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nao akina Marko, Aristarko, Dema na Luka, wafanyakazi wenzangu, wanakusalimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao akina Marko, Aristarko, Dema na Luka, wafanyakazi wenzangu, wanakusalimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vivyo hivyo Marko, Aristarko, Dema na Luka, watenda kazi wenzangu wanakusalimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vivyo hivyo Marko, Aristarko, Dema na Luka, watendakazi wenzangu wanakusalimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Marko, na Aristarko, na Dema, na Luka, watendao kazi pamoja nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao akina Marko, Aristarko, Dema na Luka, wafanyakazi wenzangu, wanakusalimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Marko na Aristarko na Dema na Luka walio wenzangu wa kazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Marko, na Aristarko, na Dema, na Luka, watendao kazi pamoja nami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile Marko, Aristarko, Dema na Luka, wafanya kazi wenzangu, wanakusalimia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na Marko, na Aristarko, na Dema, na Luka, watendao kazi pamoja nami.