Philemon 1:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawatakieni nyinyi nyote neema ya Bwana Yesu Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Neema ya Bwana Isa Al-Masihi iwe pamoja na roho zenu. Amen.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neema ya Bwana Yesu Kristo na iwe pamoja na roho zenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja nanyi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nawatakieni ninyi nyote neema ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawatakieni nyinyi nyote neema ya Bwana Yesu Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Neema ya Bwana Isa Al-Masihi iwe pamoja na roho zenu. Amen.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neema ya Bwana Yesu Kristo na iwe pamoja na roho zenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawatakieni nyinyi nyote neema ya Bwana Yesu Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upole wa Bwana Yesu Kristo uzikalie roho zenu! Amin.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neema ya Bwana Yesu Kristo na iwe pamoja na roho zenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawatakia ninyi wote neema kutoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu.