Philemon 1:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Neema na amani zitokazo kwa Mungu, Baba yetu, na kwa Bwana wetu Isa Al-Masihi ziwe nanyi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neema na iwe kwenu, na amani, zitokazo kwa Mungu, Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo ziwe pamoja nawe.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana yesu Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mwenyezi Mungu Baba yetu na Bwana Isa Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neema na iwe kwenu, na amani, zitokazo kwa Mungu, Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upole uwakalie na utengemano unaotoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neema na iwe kwenu, na amani, zitokazo kwa Mungu, Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tunawatakia neema na amani toka kwa Mungu Baba yetu na Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Neema lwe nanyi na amani zitokazo kwa Mungu, baba yetu, tta kwa Bwana Yesu Kristo.