Philemon 1:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila wakati ninaposali, nakukumbuka wewe Filemoni, na kumshukuru Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku zote ninamshukuru Mungu wangu ninapokukumbuka katika maombi yangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Namshukuru Mungu wangu sikuzote, nikikukumbuka katika maombi yangu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Namshukuru Mungu wangu siku zote kila ninapokukumbuka katika maombi yangu,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kila wakati ninaposali nakukumbuka wewe Filemoni, na kumshukuru Mungu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila wakati ninaposali, nakukumbuka wewe Filemoni, na kumshukuru Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku zote ninamshukuru Mungu ninapokukumbuka katika maombi yangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku zote ninamshukuru Mwenyezi Mungu ninapokukumbuka katika maombi yangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Namshukuru Mungu wangu siku zote, nikikukumbuka katika maombi yangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila wakati ninaposali, nakukumbuka wewe Filemoni, na kumshukuru Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namtolea Mungu wangu shukrani siku zote nikikukumbuka katika kuomba kwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Namshukuru Mungu wangu sikuzote, nikikukumbuka katika maombi yangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninamushukuru Mungu wangu siku zote nikikukumbuka wewe Filemono katika maombi yangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Namshukuru Mungu wangu, siku zote nikikukumbuka katika maombi yangu,