Philemon 1:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana nasikia habari za imani yako kwa Bwana Yesu na upendo wako kwa watu wote wa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu ninasikia kuhusu imani yako katika Bwana Isa na upendo wako kwa watakatifu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nikisikia habari za upendo wako na imani uliyo nayo kwa Bwana Yesu na kwa watakatifu wote;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
kwa sababu nasikia juu ya upendo na uaminifu ulionao katika Bwana Yesu na unaouonesha kwa watu wa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
maana nasikia habari za imani yako kwa Bwana wetu Yesu na upendo wako kwa watu wote wa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana nasikia habari za imani yako kwa Bwana Yesu na upendo wako kwa watu wote wa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu ninasikia juu ya imani yako katika Bwana Yesu na upendo wako kwa watakatifu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu ninasikia juu ya imani yako katika Bwana Isa na upendo wako kwa watakatifu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nikisikia habari za upendo wako na imani uliyo nayo kwa Bwana Yesu na kwa watakatifu wote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana nasikia habari za imani yako kwa Bwana Yesu na upendo wako kwa watu wote wa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nimesikia, unavyompenda Bwana Yesu na kumtegemea, hata unavyowapenda watakatifu wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nikisikia habari za upendo wako na imani uliyo nayo kwa Bwana Yesu na kwa watakatifu wote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana ninasikia namna unavyomwamini Bwana Yesu na namna unavyowapenda watu wote wa Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nikisikia khabari ya upendo wako na ya imani uliyo nayo kwa Bwana Yesu na kwa watakatifu wote;