Philippians 1:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini ni jambo la maana zaidi kwenu kama nikiendelea kuishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kwa sababu yenu ni muhimu zaidi mimi nikiendelea kuishi katika mwili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali kudumu katika mwili kwahitajiwa zaidi kwa ajili yenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
hata hivyo, mnanihitaji hapa nikiwa hai.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
lakini ni jambo la maana zaidi kwenu kama nikiendelea kuishi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini ni jambo la maana zaidi kwenu kama nikiendelea kuishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kwa sababu yenu ni muhimu zaidi mimi nikiendelea kuishi katika mwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kwa sababu yenu ni muhimu zaidi mimi nikiendelea kuishi katika mwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali kudumu katika mwili kwahitajiwa zaidi kwa ajili yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini ni jambo la maana zaidi kwenu kama nikiendelea kuishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kuishi humu mwilini kunafaa zaidi kwa ajili yenu ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali kudumu katika mwili kwahitajiwa zaidi kwa ajili yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini jambo la lazima zaidi kwa ajili yenu, mimi niendelee kuishi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bali kudumu katika mwili kwuhitajiwa zaidi kwa ajili yenu.