Philippians 1:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nina hakika ya jambo hili, na hivyo najua kwamba nitaendelea kuishi pamoja nanyi nyote, ili nipate kuongeza maendeleo yenu na furaha katika imani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikiwa na hakika ya jambo hili, ninajua kwamba nitaendelea kuwepo pamoja nanyi nyote, ili mpate kukua na kuwa na furaha katika imani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikitumaini hayo, najua ya kuwa nitakaa na kudumu pamoja nanyi, ili mpate kuendelea na kufurahi katika imani;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nina uhakika juu ya hili, hivyo ninajua nitakaa hapa ili niwe nanyi na niwasaidie kukua na kuwa na furaha katika imani yenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nina hakika ya jambo hili, na hivyo najua kwamba nitaendelea kuishi pamoja nanyi nyote, ili nipate kuongeza maendeleo yenu na furaha katika imani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nina hakika ya jambo hili, na hivyo najua kwamba nitaendelea kuishi pamoja nanyi nyote, ili nipate kuongeza maendeleo yenu na furaha katika imani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa nina matumaini haya, ninajua kwamba nitaendelea kuwapo na kuwa pamoja nanyi nyote, ili mpate kukua na kuwa na furaha katika imani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa nina matumaini haya, ninajua kwamba nitaendelea kuwepo na kuwa pamoja nanyi nyote, ili mpate kukua na kuwa na furaha katika imani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nikitumaini hayo, najua ya kuwa nitakaa na kudumu pamoja nanyi, ili mpate kuendelea na kufurahi katika imani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nina hakika ya jambo hili, na hivyo najua kwamba nitaendelea kuishi pamoja nanyi nyote, ili nipate kuongeza maendeleo yenu na furaha katika imani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo moyo umenitulia, nikijua, ya kuwa nitakaa nchini, nako kwenu nitakaa nanyi nyote, mwendelee kumtegemea Mungu na kufurahiwa ndiko,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikitumaini hayo, najua ya kuwa nitakaa na kudumu pamoja nanyi, ili mpate kuendelea na kufurahi katika imani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi niko na uhakika juu ya jambo hili nami ninajua kwamba nitabaki. Nitakaa pamoja nanyi kwa kuwasaidia kusudi mupate kuendelea na kuwa na furaha katika imani.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nami nikitumaini haya, najua ya kuwa nitakaa na kudumu pamoja nanyi, illi muendelee mkapate kufurahi katika imani;