Philippians 1:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kila ninapowaombeeni nyote, nasali kwa furaha,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika maombi yangu yote daima nimekuwa nikiwaombea ninyi nyote kwa furaha,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
sikuzote kila niwaombeapo ninyi nyote nikisema sala zangu kwa furaha,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila wakati ninapowaombea ninyi nyote, daima ninawaombea kwa furaha.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na kila ninapowaombeeni nyote, nasali kwa furaha,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kila ninapowaombeeni nyote, nasali kwa furaha,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika maombi yangu yote daima nimekuwa nikiwaombea ninyi nyote kwa furaha,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika maombi yangu yote daima nimekuwa nikiwaombea ninyi nyote kwa furaha,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
siku zote kila niwaombeapo ninyi nyote nikisema sala zangu kwa furaha,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kila ninapowaombeeni nyote, nasali kwa furaha,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani kila mara nikiwaombea ninyi nyote ninaomba na kufurahi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
sikuzote kila niwaombeapo ninyi nyote nikisema sala zangu kwa furaha,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila wakati ninapowaombea ninyi, ninaomba kwa furaha,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
siku zote killa niwaombeapo ninyi nyote nikisema sala zangu kwa furaha,