Philippians 1:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa sababu ya jinsi mlivyonisaidia katika kazi ya Injili tangu siku ile ya kwanza mpaka leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu ya kushiriki kwenu katika kueneza Injili, tangu siku ya kwanza hadi leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa sababu ya ushirika wenu katika kuieneza Injili, tangu siku ile ya kwanza hata leo hivi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninamshukuru Mungu kwa namna mlivyonisaidia nilipokuwa ninawahubiri watu Habari Njema. Mlinisaidia tangu siku ya kwanza mlipoamini mpaka sasa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kwa sababu ya jinsi mlivyonisaidia katika kazi ya Injili tangu siku ile ya kwanza mpaka leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa sababu ya jinsi mlivyonisaidia katika kazi ya Injili tangu siku ile ya kwanza mpaka leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu ya kushiriki kwenu katika kueneza Injili, tangu siku ya kwanza hadi leo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu ya kushiriki kwenu katika kueneza Injili, tangu siku ya kwanza hadi leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa sababu ya ushirika wenu katika kuieneza Injili, tangu siku ile ya kwanza hata hivi leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa sababu ya jinsi mlivyonisaidia katika kazi ya Injili tangu siku ile ya kwanza mpaka leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mwashikamana na Utume mwema tangu siku ile ya kwanza mpaka sasa hivi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa sababu ya ushirika wenu katika kuieneza Injili, tangu siku ile ya kwanza hata leo hivi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa namna munashirikiana nami katika kazi ya kutangaza Habari Njema, tangu mwanzo mpaka sasa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa sababu ya ushirika wenu katika kuieneza Injili, tangu siku ya kwanza hatta leo hivi;