Philippians 2:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ili kwa heshima ya jina la Yesu, viumbe vyote mbinguni, duniani na kuzimu, vipige magoti mbele yake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili kwa Jina la Isa, kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo kila mtu atasujudu kumheshimu Yesu. Kila mmoja aliye mbinguni, duniani na wale walio chini ya dunia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ili kwa heshima ya jina la Yesu, viumbe vyote mbinguni, duniani na kuzimu, vipige magoti mbele yake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ili kwa heshima ya jina la Yesu, viumbe vyote mbinguni, duniani na kuzimu, vipige magoti mbele yake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kwa Jina la Yesu, kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, vya duniani na vya chini ya nchi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kwa Jina la Isa, kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ili kwa heshima ya jina la Yesu, viumbe vyote mbinguni, duniani na kuzimu, vipige magoti mbele yake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
maana katika Jina lake Yesu wote wapige magoti, wao walioko mbinguni nao waliopo nchini nao walioko kuzimuni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi kwa kuheshimu jina la Yesu, viumbe vyote vinavyokuwa katika mbingu, katika dunia na katika kuzimu, vipige magoti mbele yake,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
illi kwa jina la Yesu killa goti likunjwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya inchi;