Philippians 2:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kila mtu akiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kila ulimi ukiri kwamba Isa Al-Masihi ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba Mwenyezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wote watakiri kwamba, “Yesu Kristo ni Bwana,” na hili litamtukuza Mungu Baba.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na kila mtu akiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kila mtu akiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kila ulimi ukiri ya kwamba YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kila ulimi ukiri ya kwamba isa al-masihi ni bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kila mtu akiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kila ulimi uungame kwamba: BWANA ni YESU KRISTO; hivyo ndivyo, naye Mungu Baba atakavyotukuzwa.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kila mutu akubali kwamba Yesu ni Bwana, naye Mungu Baba atatukuzwa kwa njia hiyo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
killa ulimi ukiri ya kuwa Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.