Philippians 2:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fanyeni kila kitu bila kunungunika na bila ubishi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fanyeni mambo yote bila kunung’unika wala kushindana,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yatendeni mambo yote pasipo manung'uniko wala mashindano,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Fanyeni mambo yote pasipo kulalamika wala kubishana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Fanyeni kila kitu bila kunungunika na bila ubishi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fanyeni kila kitu bila kunung'unika na bila ubishi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fanyeni mambo yote bila kunung'unika wala kushindana,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fanyeni mambo yote bila kunung’unika wala kushindana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yatendeni mambo yote pasipo manung'uniko wala mashindano,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fanyeni kila kitu bila kunungunika na bila ubishi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yote yafanyeni pasipo kunung'unika na pasipo kuwaza mengi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yatendeni mambo yote pasipo manung’uniko wala mashindano,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufanye kila kitu bila manunguniko wala mabishano,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yatendeni mambo yote pasipo manungʼuniko na mashindano,