Philippians 2:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sina mtu mwingine kama yeye ambaye anawashughulikieni kwa moyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sina mtu mwingine kama yeye, ambaye ataangalia hali yenu kwa halisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana sina mtu mwingine mwenye nia moja nami, atakayeiangalia hali yenu kweli kweli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sina mtu mwingine yeyote kama Timotheo, ambaye kwa dhati kabisa anayajali mambo yanayowahusu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sina mtu mwingine kama yeye ambaye anawashughulikieni kwa moyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sina mtu mwingine kama yeye ambaye anawashughulikieni kwa moyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sina mtu mwingine kama yeye ambaye ataangalia hali yenu kwa halisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sina mtu mwingine kama yeye, ambaye ataangalia hali yenu kwa halisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana sina mtu mwingine mwenye nia moja nami, atakayeiangalia hali yenu kweli kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sina mtu mwingine kama yeye ambaye anawashughulikieni kwa moyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani sinaye mtu mwingine, tuliyepatana naye mioyo kama huyu; naye huyasumbukia kweli mambo yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana sina mtu mwingine mwenye nia moja nami, atakayeiangalia hali yenu kweli kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni yeye tu ndiye mafikiri yake yanapatana na yangu, naye anashugulika kweli na mambo yanayowaelekea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana sina mtu mwingine mwenye nia moja nami, atakaeangalia hali yenu kweli kweli.