Philippians 2:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo natumaini kumtuma kwenu mara nitakapojua jinsi mambo yatakavyoniendea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, ninatumaini kumtuma kwenu upesi mara nitakapojua mambo yangu yatakavyokuwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, natumaini kumtuma huyo mara, hapo nitakapojua yatakayonipata.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninategemea kumtuma aje kwenu haraka baada ya kujua yatakayonipata.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa hiyo natumaini kumtuma kwenu mara nitakapojua jinsi mambo yatakavyoniendea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo natumaini kumtuma kwenu mara nitakapojua jinsi mambo yatakavyoniendea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, ninatumaini kumtuma kwenu upesi mara nitakapojua mambo yangu yatakavyokuwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, ninatumaini kumtuma kwenu upesi mara nitakapojua mambo yangu yatakavyokuwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, natumaini kumtuma huyo mara, hapo nitakapojua yatakayonipata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo natumaini kumtuma kwenu mara nitakapojua jinsi mambo yatakavyoniendea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nangojea, nipate kumtuma yeye; itakuwa papo hapo, nitakapoona, mambo yangu yatakavyotimilika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, natumaini kumtuma huyo mara, hapo nitakapojua yatakayonipata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninatumaini kumutuma kwenu pale pale nitakapojua yale yatakayonitokea juu ya kufungwa kwangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, natumaini kumtuma huyu marra nitakapojua yatakayonipata.