Philippians 2:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na, ninatumaini katika Bwana kwamba nami pia nitaweza kuja kwenu karibuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami mwenyewe ninatumaini katika Bwana Isa kwamba nitakuja kwenu hivi karibuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami naamini katika Bwana ya kuwa nitakuja na mimi mwenyewe hivi karibu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Bwana hunifanya niwe jasiri ili niweze pia kuja kwenu haraka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na, ninatumaini katika Bwana kwamba nami pia nitaweza kuja kwenu karibuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na, ninatumaini katika Bwana kwamba nami pia nitaweza kuja kwenu karibuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami mwenyewe ninatumaini katika Bwana kwamba nitakuja kwenu hivi karibuni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami mwenyewe ninatumaini katika Bwana Isa kwamba nitakuja kwenu hivi karibuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami naamini katika Bwana ya kuwa nitakuja na mimi mwenyewe hivi karibuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na, ninatumaini katika Bwana kwamba nami pia nitaweza kuja kwenu karibuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili nalo nalishika moyoni kwamba: Bwana atanipa nami kuja upesi kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami naamini katika Bwana ya kuwa nitakuja na mimi mwenyewe hivi karibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami ninamutumainia Bwana kwamba mimi mwenyewe nitakuja kuwaona bado kidogo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana naamini katika Bwana ya kuwa nitakuja na mimi mwenyewe karibu.