Philippians 2:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bali, kwa hiari yake mwenyewe, aliachilia hayo yote, akajitwalia hali ya mtumishi, akawa sawa na wanadamu, akaonekana kama wanadamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
bali alijifanya si kitu, akachukua hali hasa ya mtumwa, naye akazaliwa katika umbo la mwanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Badala yake, aliacha kila kitu, hata sehemu yake pamoja na Mungu. Akakubali kuwa kama mtumwa, akiwa katika umbo la binadamu. Wakati wa maisha yake kama mtu,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Bali, kwa hiari yake mwenyewe, aliachilia hayo yote, akajitwalia hali ya mtumishi, akawa sawa na wanadamu, akaonekana kama wanadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bali, kwa hiari yake mwenyewe, aliachilia hayo yote, akajitwalia hali ya mtumishi, akawa sawa na wanadamu, akaonekana kama wanadamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
bali alijifanya si kitu, akajifanya sawa hasa na mtumwa, akazaliwa katika umbo la mwanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bali alijifanya si kitu, akachukua hali hasa na mtumwa, naye akazaliwa katika umbo la mwanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bali, kwa hiari yake mwenyewe, aliachilia hayo yote, akajitwalia hali ya mtumishi, akawa sawa na wanadamu, akaonekana kama wanadamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila alijivua mwenyewe sura ya Kimungu, akajivika sura ya kitumwa, akawa amefanana na watu; walipomtazama, akaonekana, kuwa kama mtu mwenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitupilia hivi vyote, akatwaa hali ya mutumwa. Akatwaa mufano wa mutu, naye akaonekana katika hali ya kimutu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hali alijifanya hana utukufu, akitwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wana Adamu;